Kama mada inavyojieleza
Hivi ni nini hasa kinafanya wanawake kuwa wabinafsi kwenye suala zima la mali na mambo mengine kiuchumi?
Mfano mpo kwenye ndoa mke akiwa tu na kipato kikubwa kumzidi mume lazima ataleta ubinafsi katika umliki wa mali mlizochuma pamoja kisa tu yeye kachangia kikubwa...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
chama
elimu
giza
haki ya kukosoa
katiba
kiboko
kukosoa serikali
kwani
macho
maradhi
sana
serikali za mitaa
ukweli
umuhimu wa kutii katiba
uoga
uongozi
viongozi wa serikali
vitendo vya rushwa
wabinafsi
wakati
Copy & paste
Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
Ninazungumzia baadhi ya wenzetu humu jukwaani ambao ama sijawaelewa, au wana "tatizo".
Nimeliona hili pindi mtu anapouoandisha uzi ambao una chembe za kifursa. Mathalani , mtu anaweza akawa anaelezea fursa zinazopatikana kwenye shughuli fulani kama kilimo, biashara, n.k.
Imeshuhudiwa mara...
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga.
Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa...
Awataka wanaosuasua kukaza buti
Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo kundi hili tena wengine wasomi. Alafu kuna ambao ni Chizi Maarifa hawa wengi ukiwaona kwa mbali...
Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua hiki kizazi cha hawa Baby Boomers (watu waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1940 na mwanzoni mwa miaka ya 1960 i.e 1946-1964), ni kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani.
Wengi wao, katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania, walipoingia tu kwenye...
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
Afrika ni wewe uliepewa madini kama dhahabu, almasi, chuma na vito vingi vya thamani.
Ni wewe Afrika uliebarikiwa misitu yenye uwezo wa kuzalisha mbao bora lakini ajabu hadi sasa watoto wanakosa madawati shuleni.
Afrika ni wewe uliebarikiwa mafuta na ges lakini bado uhakika wa umeme ni tabu...
Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa...
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.
Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu...
Wasalaam wana JF
Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo.
Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia...
Wiki ilopita Mwanamke wangu alikuwa na ziara ya kikazi mikoani kwa gari ya ofisini kwao na wenzie watatu (jumla 4 na dereva wao) kwenda kukagua hesabu za vituo vyao vilivyopo uko mikoani.
Siku ya Jumatano alfajir kanitaarifu Yuko Safarini anarudi. Mida ya jioni kanipigia akinambia wamefika...
Wakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine
Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu.
Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo yao kwenye hifadhi ya taifa.
Watu wenye pesa wameifanya hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya...
Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia
Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu
Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99
Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.