Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.
Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu...