wabishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Waziri Bashungwa apiga marufuku vivuko kuzidisha abiria na mizigo

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) pamoja na vyombo vingine vya usafiri ndani ya maji kuzingatia sheria na miongozo mbalimbali ya usalama kwenye vivuko kwa kuhakikisha hawazidishi abiria wala mizigo ili kulinda usalama wa abiria pamoja na mali zao...
  2. AnyWayZ

    SIRA 31:25-31, Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

    Salaam Wakuu,.... SIRA 31 Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila...
  3. Mjanja M1

    Unamshauri kitu gani huyu kijana mbishi?

    Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
  4. S

    VAR inathibitisha waamuzi wengi ni wabishi na zaidi wanafanya makosa sana katika maamuzi yao

    Mechi ya Burkina Faso dhidi ya Mauritania iliyoamuliwa kwa kutumia teknolojia ya VAR, ni uthinbitisho tosha kuwa waamuzi wengi ni wabishi kwa kujiona wako sahihi kumnbe wanafanya makosa yanayogharimu timu nyingi katika michezo mingi. Pia, inathibitisha kuwa wachezaji wanapomzonga refa, mara...
  5. Gol D Roger

    Hahahah Eti Wana JF ni watu wabishi sana!

    Habari 🖐 Leo mida ya jioni nilikuwa zangu Jukwaani kama kawaida nikipitapita kweny thread tofauti, bac kuna mshkaji wangu alikuwa anapita akaja kama kwa nyuma yangu hivi akaona nipo JF. Mshkaji akaniambiaje, "kumbe na wewe unatumiaga JF? Nikamjibu "Ndio", akasema tena "hivi mwanzilishi wa JF...
  6. MFALME WETU

    Kwanini Watanzania wengi ni wabishi?

    Hello, Zamani nilikua najua watu wafupi au ndugu zetu wa upareni, Tanga, Morogoro na Kigoma ndo wabishi tu kumbe nilijidanganya. Sasa nimekuja kugundua wabongo wengi tuna hulka ya ubishi, sio wanaume sio wanawake, sio vijana sio wazee, sio warefu sio wafupi, sio mtandaoni sio kwenye maisha...
  7. D

    Mkiambiwa Kitenge, Zembwela na PJ ni wajinga msiwe wabishi

    Wajumbe, mara kadhaa mmekuwa mkiambiwa kuwa wachekeshaji wa redio ya Wasafi Maulid Kitenge, Zembwela na Paul James au PJ ni wajinga, wavivu wa kufikiri na pengine wanaoshambiliwa na ugonjwa mbaya wa ujinga msiwe mnabisha. Leo asubuhi wameendeleza komedi yao huko Morogoro wakiendelea na kile...
  8. Chizi Maarifa

    Mliowahi kutana na haya makitu. Uzoefu wenu please. Hasa kwa Vijana wa siku hizi wabishi na mabinti

    Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom. Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
  9. The Assassin

    Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  10. W

    Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
  11. Binadamu Mtakatifu

    Jamani kuna watu wabishi!

    Jamani kwenye hii Dunia tunakutana na mambo mengi ya kuboa ila hakuna kitu inaboa kama kuwa na rafiki mbishi, aseee yeye hata kama una point zenye mashiko ataleta ubishi. Kingine wakuu, mtu mbishi anaboa zaidi pale ambapo unakuta anabisha huku anacheka; aiseeee Wahaya mnatabu! #TUOE #KATAA...
  12. MEXICANA

    Pole DC Machali ila unapaswa uelewe Bukoba mji wa wabishi kila mtu mwanasheria, wanapikia hata kwenye lami hakuna wa kuwagusa

    Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe. Kwakweli mji huu uko...
  13. britanicca

    Wajue vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao wamemtia unyonge Putin pia Warusi wenzetu wa pale Tandale

    Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi wenzetu wa pale Tandika kaburi 1. Putin alisema lengo lake la kuivamia Ukraine ni kui demilitarize na...
  14. britanicca

    Naiona failure ya CHADEMA kwa Mbaali japo ni wabishi

    Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana 1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la Mbowe nimejiuliza maswali mengi sana are we serious? 2. Press ya awali ya Mnyika ilinipa picha...
  15. chizcom

    Idadi kubwa ya waendesha pikipiki ni wabishi, wakorofi na wajeuri

    Tunashukuru Wachina kutufikisha vyombo vya moto kama pikipiki. Ila ni moja la janga kubwa katika taifa kuanzia kwenye matumizi yake kufikia kujiingiza kwenye hualifu, uporaji kwa kutumia chombo chenyewe, uporaji wa pikipiki na mauaji yake, ajali za pikipiki na n.k Tuje kwenye matumizi ya...
Back
Top Bottom