Hello,
Zamani nilikua najua watu wafupi au ndugu zetu wa upareni, Tanga, Morogoro na Kigoma ndo wabishi tu kumbe nilijidanganya.
Sasa nimekuja kugundua wabongo wengi tuna hulka ya ubishi, sio wanaume sio wanawake, sio vijana sio wazee, sio warefu sio wafupi, sio mtandaoni sio kwenye maisha...