Kuna vuguvugu la chinichini la baadhi ya wabunge wa viti maalumu kati ya 19 waliovuliwa uanachama wa Chadema kurejea ndani ya chama hicho.
Vuguvugu hilo ambalo pia linazua mjadala wa pande mbili, liliwekwa wazi Agosti 6, 2024 kupitia kauli ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum...