DRAMA linaanza hivi;
Ndugu wana bodi JF, ikumbukwe kuwa mara baada ya uchaguzi 2020, CHADEMA hawakuridhishwa na mwenendo wa mchakato mzima wa uchaguzi na walitoa msimamo wao wa kutokuyatambua matokeo ya uchaguzi ule, hii ilipelekea kutoa tamko hadharani na kuwaagiza wale waliokuwa wameshinda...