Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa...