Kwa nini CCM iliupendelea huo utaratibu? Labda una manufaa kwa nchi?
Naamini kungeitishwa kura ya maoni, wananchi wengi, mimi nikiwemo, wangependelea utaratibu wa mawaziri kutokuwa wabunge.
Utaratibu huo ni kuuishi dhana ya kila muhimili kujitegemea.