Wakuu,
1. Deus Clement Sangu – Mbunge wa Kwela
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 48,918, akimshinda Ngogo Naftal Daniel kutoka CHADEMA ambaye alipata kura 23,542.
Teuzi ya Serikali: Aliteuliwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...