Wakuu,
1. Selemani Jumanne Zedi - MBUNGE WA BUKENE
Utangulizi
Mbunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora.
Alishinda uchaguzi wa 2020 kwa kura 16,920.
Aliwashinda wapinzani, wakiwemo Steven Maziku Kahumbi wa CHADEMA aliyepata kura 14,373.
Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Kurasini...