Huu ni muda wa kuyafanyia marekebisho baadhi ya masuala ya uongozi.
Hawa viti maalumu ambao wengi wao ni ndugu wa viongozi wakubwa hawana mchango wowote kwenye mchakato wa kibunge.
Wao wanatafuta namna ya kuwafutahisha either waume zao ama wapenzi wao ama ndugu zao waliopo kwenye nafasi za...
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁
---
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma baada ya kutumia maneno "Wana-CCM wenzangu," katika maelezo yake wakati akichangia bajeti ya Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.