Kwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti.
Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha wanatoa pesa na support ya kutosha kuhakikisha mtu wanayemsapoti anashinda.
Kwa sera mpya za Mwenyekiti...