Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu"
Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Rais wa Korea Kusini...