Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM...
Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile.
Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamevuruga kikao cha Bunge kupinga hatua ya kufungwa Gerezani Mbunge mwenzao kwa tuhuma za kusema uwongo.
Wabunge hao wamesema kufungwa kwa Ervin Salianji ni hatua iliyochochewa kisiasa na wameitisha maandamano makubwa ya kuufunga Mji Mkuu, Tirana...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa.
Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza, Mbunge pekee machachari wa CCM, Luhaga Mpina yuko nje kwa kadi nyukundu. Wakina Msukuma, Kibajaji...
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni
1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea
2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo
3. Bunge kufatiliwa na watu wengi imepungua sana
4. Mawaziri kutumia muda mwingi kusoma na kupitia maendeleo ya wizara zao kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.