Mbunge machachari 'Musukuma', amedai kuwa baadhi ya wabunge wa Zanzibar ni "wavivu" na wamekuwa wakitumia Muungano kama kisingizio cha kuficha udhaifu wao wa kutowahudumia wananchi
Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua
"Mi toka...
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya Wabunge kutoka Zanzibar wakiwa wanatoa inayoitwa "michango" yao bungeni.
Kodi za wananchi zinaenda bure kabisa katika nchi hii. Yaani inaonekana kama hawako serious kabisa
Alafu huyu si ndo aliita wananchi "kenge"? Au kuna mwingine?
Mmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani
Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za Turhani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...