wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wabunge wa CCM wakirudi Majimboni wanakwenda kuwaeleza nini wapiga kura wao kuhusu DP WORLD kununua Bandari zote Bara?

    Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu. Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote? 2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi. 3. Mbunge wa Arusha...
  2. Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za kwa maslahi ya taifa ambazo ziko kwa mfumo wa maswali, halafu majibu utayatoa mwenyewe wewe msomaji. Maswali ya leo ni Bunge Letu ni Bunge la Hovyo? Bunge Letu Linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika Aanze...
  3. Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

    Dkt. Slaa amesema wabunge wa CCM baadhi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu, yaani uchaguzi wa kupita bila kupingwa, moja ya madhara ya kuwepo kwa jambo hilo ni kuzalisha idadi kubwa ya wabunge ambao ni wa chama kimoja (CCM). Kuwepo kwa wabunge wengi wa chama kimoja bungeni...
  4. Je, kuna haja ya kuwarudisha tena bungeni hawa wabunge wa Bunge la 12, 2025?

    Habari JF, nadhani tangu 2020 mpaka sasa ni muda ambao umetosha kabisa kujua tuna wawakilishi wa aina gani wako pale bungeni .kwa mara ya kwanza June 10, 2023 kwa hili bunge la 12 nliamua kufuatilia kwa ukaribu sana nini kinaendelea pale bungeni. Nilijifunza vitu vingi sana kwa hawa wawakilishi...
  5. Hivi, wabunge walikuwa wanamshambulia Mbowe na kuwatishia waliotoa hoja au walikuwa wanawaelemisha watanzania faida ya hiyo IGA na Dubai?

    Kwa maoni yangu. Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano. Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano. Ni kama vile wao ndio watanzania...
  6. Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  7. R

    Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya. Hiki...
  8. Viongozi wa Dini Wanasema: "Wabunge wetu hawategemei Kura za wananchi ndiyo Maana hawana heshima"

    Hii Ngoma bado mbichi kabisaa Maana viongozi wa Dini wamesema wameiskilza Serikali ila Wao watatoa matamko Yao baadae. Lakini hoja zao zimeonekana zenye akili na uelewa wa Juu wa mambo haya tofauti na wabunge wetu.. wanasema wabunge walio wengi hawategemei Kura, wanaamini iwe jua au mvua...
  9. Hata hili za saini lako waheshimiwa wabunge hamkuliona?

    Mkataba wa Mbarawa umebainika kuwepo dosari kubwa za saini kwa pande zote mbili Tanzania na Dubai. Swali je waheshimiwa wabunge hili nalo hamkufanikiwa kuliona?
  10. Wabunge, huko bungeni kazi yenu nini?

    Hello Tanzania, Hivi hawa wabunge kazi yao nini haswa, wanajua majukumu yao? Wabunge mnatia hasira sana hasa mbunge wa Songwe ukikaa vibaya 2025 nakupindua una kazi ya kununulia wanachi pombe as if pombe ndio afya yao Road ya vumbi mpaka unafika kijijini kwenu mtu unaoga vumbi kweli hamtutendei...
  11. M

    Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  12. Wabunge wetu mnasikitisha sana

    Wabunge wetu mnawawakilisha wananchi wapi? Mbona mmeshindwa kuwawakilisha dukuduku lao la bandari? Je, mlichaguliwa kwenda kumsifu chifu tu? Hivi walioeleza dosari za mkataba ule wote walikuwa na nia ovu kweli? Kwanini katika bunge la kujadili mkataba/makubaliano hayo hamkujadili issues badala...
  13. T

    Je, umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi?

    Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa? Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
  14. F

    Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  15. F

    Nyie Wabunge wetu Hayati Dr.Magufuli aliwahi kusema Watanzania si Wajinga! Tumepigwa na Mwarabu!

    Ebu tuelezeni kwa nini uwekezaji au ubinafsishaji wa DP World kupitia Serikali ya Dubai uwekewe fensi kupitia Azimio la Bunge!? Ikitokea Watanzania haturidhiki na kazi za DP World, je Bunge litakaa tena kuondoa Azimio la Bunge kuridhia makubaliano haya! Wabunge mmekazana huu si mkataba wa kazi...
  16. Bahasha zisizo eleweka zina nini ndani zagawiwa mda huu kwa wabunge wote

    Bahasha nzito zimegawiwa kwa wabunge wote mda huu mjadala muhimu kwa nchi ukiendelea. ....humu ndani tumegawiwa bahasha brother nzito hii issue aisee siamini kama tutatoboa! Chanzo.
  17. R

    Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

    Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV. This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa...
  18. R

    Ni sahihi wabunge kutoka Zanzibar kushiriki kuamua hatma ya bandari za bara katika Azimio linaloendelea?

    Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika. Leo mjadala hafifu...
  19. Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
  20. Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa. IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…