Nashauri upatikanaji wa Wabunge wa EALA Tz tuzingatie umakini, haki na weledi.
Tukiendekeza tabia za wajumbe tumepata hasara.
Sasa hivi desturi ya dunia hii ni kunyang'anyana fursa.
Kama tutapeleka Wabunge wasio na sifa za weledi hakika tutapoteza.
Sasa hivi baada ya uchaguzi wa Kenya...