Habari ndugu zangu!
Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho!
Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi.
Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana!
Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
Inasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini kama yakitokea unapaswa badirisha baada ya maanagamizi ila kwa hawa wanawake wa sikuiz ni wachafu...
Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida ndiyo maana jamaa kwa sasa route za majuu zimekata kutokana na mshangazi amekata kutoa fund raise kwa...
Kuanzia sare zao za kazi yaani, shati na suruali. kwanza ni vichafu, lakini pia ni vichakavu na sielewagi vinachakaaga kwa kazi gani au kuvaliwa wapi zaidi ya humo humo kwenye daladala 🐒
Sawa, kazi ni kazi ilia angalau wawe wanaoga, wawe wanasafisha midomo, walau kunyoa ndevu na kua nadhifu...
Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa.
Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
Ukiangalia mechi inayochezwa pale katika uwanja wa UHURU - Dar es Salaam, basi maeneo ya majukwaa YANATIA KINYAAA.
ULE ukoko unapaswa kuondolewa kwa kuwa sisi tunatabia za uchafu, basi yale maeneo yapakwe rangi NYEUSI ili ionekane ni rangi siyo uchafu.
Kwakweli tuache uvivu TUJIPENDE.
Wadau nimefanya utafiti mdogo Kwa nini walimu wa kiume wanaofundisha masomo ya sayansi hasa hesabu ni wachafu kimuonekano ukilinganisha na masomo ya Sanaa?
Nimekua mpenzi sana wa kula pweza, ila kula pweza Dar, kwa hawa wauzaji wetu barabarani, inataka uwe unafanana nao, usijue uchafu ni nini.
Unaona mtu amechagua mkia wa pweza, anaomba akatie vipande, jamaa anashika kwa mkono tu bila kunawa, akili ya kutumia uma, kushikia pweza anaekatwa hawana...
Masikini atateseka km nje ni mtu wa Show-off,
Mchafu wewe huna pa kuponea, maana hali ya uchumi haihalalishi uchafu hapo sasa lazima uwe na timing ya giza na majiranii.
Maana kwenye kuhama bana! watu sikuhio utaona kama wameongezeka halafu kila yule unahisi anakuangalia.
Ukiwa zako ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.