Nimeanza kuafiki wazi la waziri mwana FA kuhusu kuwapa elimu ya uchambuzi wachambuzi mazwazwa wa Tanzania
Inashangaza wachambuzi kuongelea na kulamika kuhusu upangaji wa kikosi wa coach na kulazimisha kipangwe kikosi wanachotaka wao
1. coach ndo anaishi na wachezaji
Coach ndo anajua mchezaji...
Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu.
Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
Tangu dirisha la usajili lifunguliwe tunasikia simba,yanga na azam hatusikii vilabu vingine vinafanya nini wala vinajiandaje huko mikoani.
Wachambuzi wote simba na yanga mpaka habari zinachosha na marudio ya kila siku, tunataka kusikia Coastal, pamba, Tabora, Namungo na kadhalika wamesajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.