Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka.
Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma...
Wakuu nimekuwa nikisikiliza redio nyingi ambazo siyo maarufu nchini hasa vipindi vya michezo na nilichogundua ni kuwa hawa wachambuzi wa soka wa hivi viredio wanachukua Kila kitu kutoka kwa wachambuzi wa redio maarufu hapa nchini kama E FM, Wasafi, Crown FM na Clauds FM.
Lea asubuhi nilikuwa...
Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora.
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke
Huyu bwana haamini katika mpira hajui mpira wa Sasa ni sayansi. Yaani ligi imechezwa mechi 1 na mechi 2 za CAF jamaa...
Mawakili wa Club za mpira tekelezeni wajibu wenu badala ya kulaumu wachambuzi na wachezaji
Na Wakili Zawadi Lupelo
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na makala fupi ya Mwanasheria wa Club ya Yanga Wakili Simon Patrick akiwalaumu wachambuzi walioshabikia sakata la Feitoto kuvunja...
Vipindi vya michezo vimekuwa vingi kwenye televisheni na radio licha ya kuwa vingi ni miongoni mwa vipindi vyenye muda mrefu; kwa makadirio vinachukua muda wa masaa mawili mpaka matatu kwa msingi huo usishangae kila kijiwe story zikiwa Simba na Yanga, Dewji na GSM, Ntibanzokiza na Mayele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.