wachambuzi wa soka wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Mwana FA: Wachambuzi wa Soka kupelekwa kozi ili kukidhi vigezo kukaa kwenye vyombo vya Habari kuchambua

    Serikali imesema bado ina dhamira ya kuhakikisha inatekeleza mpango wa kuwapa mafunzo (kozi) wachambuzi wa michezo kabla ya kwenda kufanya kazi ya uchambuzi kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa kanuni za michezo kama zinavyotaka. Hayo yameelezwa tarehe 05 Februari, 2025 bungeni Jijini Dodoma...
  2. Mzee makoti

    Wachambuzi wa Tanzania ni ovyo, habari ni za Simba na Yanga tu. Timu nyingine vipi?

    Yaani kila stesheni habari ni za simba, habari ni za chama tu, kwamba timu zingine zipo kamilifu au?
Back
Top Bottom