Vipindi vya michezo vimekuwa vingi kwenye televisheni na radio licha ya kuwa vingi ni miongoni mwa vipindi vyenye muda mrefu; kwa makadirio vinachukua muda wa masaa mawili mpaka matatu kwa msingi huo usishangae kila kijiwe story zikiwa Simba na Yanga, Dewji na GSM, Ntibanzokiza na Mayele...