Sio kawaida hii. Nimeskia vishindo vya kutisha juu ya ardhi nilipokuwa naenda kujisaidia haja ndogo. Kiasi Kwamba nimeogopa hata kutizama dirisha la chooni nisije nikaona mambo ya ajabu. Nimejisaidia haraka sana na baada ya kumaliza nimekimbia Hadi kwenye kitanda changu na kujifunika blanketi...