Unasikia mwamba anaitwa Rodri baasi. Unajua hii mashine, jina tu linambeba. Mara unasikia Zico, Pele, Garincha, Kaka, Socrates, Romario, Ronaldinho, Bebeto. Jina moja tu umemaliza kazi, unajua unazungumzia nani. Unaweza ukaishi maisha yako yote haujui jina lao lingine na hautakutana na mwingine...
Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana.
Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi...