wachezaji simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    Simba Kama ilitaka kocha mzungu, Mpenda vijana na mkuza vipaji basi Julien Chevalier wa Asec. Kama ni huyu Fadlu. Bila bahasha tunaweza shuka daraja

    Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa. Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango. Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko...
  2. Yoda

    Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  3. Labani og

    Ngereza: wachezaji wa Simba SC hawana fitness

    Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi". Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia...
  4. Labani og

    Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  5. L

    Bodi ya Ligi tunaomba Simba awe anacheza mara 2 kwa wiki ili kutuondoa kwenye upweke wa burudani

    Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
  6. L

    Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba

    Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
  7. L

    Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu wachezaji wetu vinginevyo tumekwisha

    Hawa wachezaji ndugu viongozi wa Simba wametoka kwenye vilabu vyao wakiwa na mafanikio makubwa sana, mimi hainingii akilini leo striker Steven Mukwala aonekane hana meno wakati alikuwa mfungaji bora, alikuwa akishika mpira mabeki wa timu pinzani wanamhara, sio mshambuliaji mjinga mjinga huyu...
  8. King Leon 1

    Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

    Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
  9. Shooter Again

    Simba haitoifunga Yanga, itaendelea kuchezea vichapo

    Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi. Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
  10. Megalodon

    SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

    Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious . Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things. Very soon...
  11. William Mshumbusi

    Sikumwamini kabla na kwa mechi mbili tu kupitia wachezaji wote waliokuwepo kabla nasibitisha Fadlu David anaua uwezo wa wachezaji Simba

    Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana. imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo. Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
  12. PakiJinja

    Bado wadogo wanakua, tuwape muda

    Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda. Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
  13. THE FIRST BORN

    Kocha na Wachezaji wa Simba SC bado wana tatizo la kushindwa kumsoma Mpinzani

    Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania. Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live. Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the...
  14. Smart AJ

    Haya mashabiki wa Simba mje mtoe maoni kuhusu kikosi hiki

    Unakionaje kikosi, forget about formation.
  15. Kidagaa kimemwozea

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k Usajili ujao...
  16. utopolo og

    Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

    Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri? Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...
Back
Top Bottom