Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa.
Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango.
Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko...
Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo.
Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki.
Huu ni wakati sahihi wa...
Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi".
Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia...
Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
Hawa wachezaji ndugu viongozi wa Simba wametoka kwenye vilabu vyao wakiwa na mafanikio makubwa sana, mimi hainingii akilini leo striker Steven Mukwala aonekane hana meno wakati alikuwa mfungaji bora, alikuwa akishika mpira mabeki wa timu pinzani wanamhara, sio mshambuliaji mjinga mjinga huyu...
Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi.
Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious .
Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things.
Very soon...
Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana.
imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo.
Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda.
Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania.
Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live.
Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the...
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?
Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k
Usajili ujao...
Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli?
Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri?
Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...