1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu.
2...
Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia.
Nimewaza tu je huu sio mpango kweli kwa mechi za kimataifa kama CHAN na AFCON ili tuwe na kikosi imara cha Taifa Stars? Tusishangae...
TAARIFA KWA UMMA
Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars.
Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
Kwanini watu wenye asili ya Latin (Italy, Spain, Portugal, Argentina, Brazil) wanacheza sana soccer pasipo kujali wapo bara gani (Ulaya au America)?
Siri yao kuu ni nini?
Ninaomba kuelimishwa.
~ SIPENDI SIASA ~
Wakuu
Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao?
==
Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi;
Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa.
Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa...
Nasikiliza redio moja nashangaa sana wachambuzi wa kuheshimika hawajui madhara ya wanayoongea. Eti wachezaji wa kigeni wapungue. Wapungue waende wapi? Bila wa kigeni leo hii ligi yetu isingekuwa na ubora.
Timu zetu zisingekuwa za ubora. Au mnataka uwanjani waende ndugu zenu.
Katafuteni dawa za...
Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la kufanya ni kuwekeza kwenye facilities na manpower na mifumo thabiti basi, Hizo nyingine zote ni taarabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.