wachezaji wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Wachezaji wa Simba, Ahoua na Zimbwe Jr waingia kwenye kikosi bora CAF hatua ya makundi

    Kwingineko Nyota wa Simba, Ahoua na Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) wameingia kwenye kikosi bora cha CAF hata ya makundi Kombe la Shirikisho
  2. Waufukweni

    Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa wachezaji wa Simba ndani ya Bunge

    Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
  3. Komeo Lachuma

    TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  4. L

    Bila kumuona Leonel Ateba kwa wiki najiona kama nina mapungufu mwilini

    Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida. Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag'...
  5. William Mshumbusi

    Mgunda alishindaje gemu zake na akina Chasambi na Kabaraka. Tena bila upendeleo. Huyu ana Mavambo, Ahoua, Ateba anawaua na refa lakini wapi

    Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu. hamtaki onana, fred na mh. Hilo linauzi mnooo. Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
  6. Chief Ortambo Ikumenye

    Simba iachane na hawa wachezaji

    1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake 2. Kijili - huyu naye ni kama...
  7. S

    Kama ningekuwa kwenye benchi la ufundi la klabu ya Simba SC ningependekeza kikosi hiki

    Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki. Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni; Balua, Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui...
  8. L

    Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  9. M

    Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka

    Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
  10. cutelove

    Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

    Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku Aishi Manula akijeruhiwa na polisi na kuanza kupewa matibabu na madaktari wa timu ya Simba SC. Soma...
  11. kavulata

    Simba wajiandae kupewa kadi nyingi sana CAF confederation

    Wachezaji Wana viwango vidogo lakini wanataka matokeo makubwa, hii inawalazimisha kuwaparamia wapimzani kitu kitakachowasababishia kupewa kadi nyingi zitakazowadhoofisha kwenye mashindano.
  12. Waufukweni

    Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

    Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
  13. Labani og

    Je, wachezaji gani wa Simba wanaweza penya 11 ya Yanga?

    Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
  14. kavulata

    Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

    Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF. Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua...
  15. Frank Wanjiru

    Ahmed Ally: Tuwape muda wachezaji wetu watafute ubora.

    Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika "Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi wachezaji wetu waendelee kutafuta ubora wao Tumesajili Wachezaji bora sana ambao wamefanya makubwa...
  16. L

    Ushauri wangu kwa wachezaji wa Simba na benchi la ufundi

    Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne...
  17. King Leon 1

    Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  18. William Mshumbusi

    Simba kabla ya kuanza kujua ubora wa kikosi chenu Fukuzeni kocha Fadlu David. Huyu ata aje Messi na Mbape hatutoboi

    Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu. Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na Compan na Arteta kwa Kushusha timu daraja na kutoka kuwa asistant. Mfatilieni Fadlu David kawa kocha...
  19. mdukuzi

    Tetesi: Jonas Mkude alivyowaponza wachezaji watano wa Simba kwa tuhuma za kuuza mechi ya derby

    Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama. Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani. Muhusika mkuu aliyefanikisha hiyo miamala anadaiwa kuwa ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Simba...
Back
Top Bottom