Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto
"Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali iliyotokea juzi maana wachezaji wana malengo ya kushindana na hawafurahishwi na kikosi ambacho...