Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji
Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...