DAR ES SALAAM, Nov. 4 (Xinhua) -- Idadi ya watalii kutoka China wanaotembelea vivutio vya utalii vya Tanzania imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu kumalizika kwa janga la COVID-19, afisa mmoja wa utalii wa Tanzania amesema.
Hassan Abbasi, katibu mkuu katika Wizara ya Maliasili na Utalii...