wachumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni akili au matope ? Wachumba wanapelekana Vikoba kwenda kukopa milioni kumi, wanafanyia harusi kubwa. Deni wanakwepa kulipa

    Habari wadau. Nimekutana na post mtandaoni wa maharusi wapya wanalalamikiwa kukwepa kulipa deni la milioni zaidi ya 10 walizokopa kwa ajili ya kufanyia harusi yao. Inasemekana walifanya harusi kubwa iliyotrend instagram kwenye page za MC maarufu. Kwa hela za mkopo. Ila kulipa deni hawataki...
  2. Kichuguu

    Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

    Neda Israel; kuna warembo wengi wa kishua mitaani
  3. Baba Kisarii

    Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

    Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
  4. M

    Wahuni Mungu hutubariki na wachumba wazuri ila sisi ndo tunazingua

    Wazee kwema! Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa. Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu mtoto ananipenda na mimi nampenda ila sijawa tayari kwa kuoa. Mtoto ni kind, honest pia ni loyal sana...
  5. tpaul

    Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa. Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la...
  6. F

    Roman Catholic, KKKT na makanisa mengine makubwa, Vijana wanaosali kanisani kwenu ni ngumu sana kupata Wachumba kanisani, igeni mfumo wa Wasabato SDA

    Binafsi ni msharika wa KKKT. nimebahatika kusali madhehebu mengi sana yakiwemo Roman Catholic, TAG,Anglican, SDA, KKKT na mengineyo. nimeenda kwa kualikwa na ndugu , jamaa na marafiki kusikiliza neno la Mungu . ukweli siku niliyosali kwa wasabato nimeona kitu tofauti sana katika ibada zao...
  7. Tlaatlaah

    Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
  8. Nazjaz

    Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

    Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani. Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu. Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga...
  9. Pang Fung Mi

    Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

    Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa vizuri kiuchumi, kufulia na Kuyumba, kuna kuwa na gari, pikipiki etc vyote kama kishawishi au mvuto...
  10. Pang Fung Mi

    Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  11. Pang Fung Mi

    Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola...
  12. CK Allan

    Ushauri kwa wachumba wanaotaka kuja kuwa wanandoa

    Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini: Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...
  13. MaT2B

    Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

    Wakuu wa MMU habari za sasa, Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi. Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao. Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu...
  14. Maleven

    Wazazi wawatafutie watoto wa kike wachumba wa kuwaoa

    Wote tunajua ndoa ni jambo la kheri kimila na kidini, kutokana na malalamiko kuwa vijana wanashindwa kutambuana, sio mbaya kwa mfano baba ambaye huwa anahangaika maeneo mbalimbli, endapo atamuaona kijana ambae anaamin ana tabia nzuri, amawambie kuwa amuoe bint yake, na kama mzazi ana uwezo pia...
  15. ndege JOHN

    Babu kaniambia niwe na wachumba wanne ndipo nichague mmoja kuwa mke

    Nilikuwa nimetoka matembezini Niko na mdada goma langu sasa Nikakuta sehemu babu yangu amekaa nikamwambia Babu huyu niliye naye ndo mchumba nitamuoa nataka nitume mahari. Baadae jioni babu akaja kuniambia kuwa ninakosea kwamba kiwango cha wachumba unachopaswa kuwa nao ni wanne ndo uchague...
  16. Mallia

    Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  17. R

    Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

    Wakuu, hili sakata la kuwasomesha wachumba naona linafukuta kwa sasa. Ninaamini tuko wengi tuliowahi kuwasomesha wachumba/girl friend na bado hatujawaoa sisi. Tukutane hapa!! Nitaanza na mimi binafsi. Nilipokuwa chuo mwaka wa nne - 2006! Nilikuwa na demu wangu yeye alikuwa anasoma kozi ya...
  18. farusofia

    Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

    Jana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita. Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani. Nikataka kujua anaitaka ya nini...
Back
Top Bottom