Nsikuchoshe na usinchoshe,Tusichoshane!
Kwa namna Hali inavyoendelea Kuwa mbaya katika jamii hasa mambo wanayoyafanya hao mabinti wanaoitwa "wadada wa kazi" nimeona na Mimi angalau nikatoa ushauri Kwa jamii hasa hao waajili "Mabosi" Ili kama kutakuwa na hatua za kuchukua zichukuliwe ili...
Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine .
Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi .
Sasa uwaze...
Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute.
Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3).
1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua...
Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi?
Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani?
Sio kijana wa...
Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera.
Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Leo nimetoka zangu kutafuta mkate wa kila siku maeneo ya kisesa, nikasema nishuke kwa rafiki yangu hapo kanyama huwa namuita kaka kwa jinsi tunavyoishi.
Nikamkuta shemeji kama kawaida tukasalimiana na kutaka kujua mtoto na dda wa kazi hali zao maana sikuwaona.
Kumbe ndio nawasha moto. Shem...
EPISODE 1.
Nakumbuka zamani enzi nasoma secondary, home kila akiletwa house girl mpya lazima nimnyatie nimle kwa gharama yeyote ile.
Sijuwi sababu ya domo zege au ni nini? Ilikuwa sipitwi nipo radhi hata nijifiche nyuma ya mlango mradi usiku nimle.
Awe kalala au yupo macho.
Basi kuna kipindi...
Habari za humu JF
KAZI IENDELEE!
Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa.
Nina miezi 6 toka mke wangu alete mdada wa kazi nyumbani baada ya kuona muda wetu wa kufanya au kutoa huduma kwa watoto...
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili...
Sina nia mbaya!
Lakini kwa muktadha wa nadharia!
Asilimia 40%-55% ya nyumba nyingi mijini zina dada wa kazi!
Hivyo katika kila nyumba 100 maana yake kuna wadada wa kazi 55 majumbani!
Hivyo katika makazi 10000 ya mji mmoja! Maana yake wapo wadada wa kazi takribani 55000 Hawaijui kesho yao...
Habari za muda huu,
Nakuja moja Kwa Moja kwenye mada, home hapa kuna beki3 ana kama miezi 3 hivi tangu aje naona anaanza kuniletea mazoea flan hivi dah, najua bimkubwa lazima atajua nafanyaje wakuu au nivunge tu!
Habari wanajukwaa
Tumeskia vitendo vya kuogofya vya wadada wa ndani, kuumiza hadi kuua Watoto, ushirikina n.k. Ila pia Kumekua na Habari nyingi za vitendo vya unyanyasaji vya wafanya kazi wa ndani, wengi wanapewa kazi nyingi, maslahi hafifu, kupewa mimba na ma boss wao kisha kukataliwa hizo...
Habarini wanajamvi!
Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba yangu alikua mfanyabiashara na mama yangu ni mwalimu(mstaafu kwa sasa) sababu ya shule na baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.