wadau wa biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. Umuzukuru

    Naomba kujuzwa namna ya kuagiza bidhaa hii kwa AliExpress

    Habari za siku wadau wa JF, Moja kwa moja kwenye mada, Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
  3. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5 Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer...
  4. Joe Jas

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Simple sana Uzi huu ni maalum kwa wafanyabiashara na mjasiriamali yeyote wa mkoa wowote tujuane tupate connection za bidhaa mbalimbali Mtoa uzi - Tarime Mara - duka la soft drinks 0782741783
Back
Top Bottom