Leo ni Siku ya pili ambapo TCD inawakutanisha wadau katika Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.
Mkutano huu ulianza jana Mei 8 na unamalizika leo...