wadau wa elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Chuo cha TIA kimenipangia kampasi ya Mwanza kusoma kozi ambayo haipo

    Niliomba chuo(TIA) na kupata nafasi. Aidha nilipangiwa campus ya Mwanza. Nimefika kwa ajili ya Udahili naambiwa nimepangiwa chuo kimakosa, kozi hiyo haipo kwa hapa Mwanza natakiwa niende Dar es salaam au singida kwenye Branch zao zilizopo huko. Kwangu Mimi huu ni usumbufu wa hali ya juu kwani...
  2. MoR 91

    Taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu mwalimu kufanya biashara darasani kwa wanafunzi anaowafundisha?

    Habari za asubuhi wanajamvi, Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha? Kwa ufupi ni kwamba kuna shule moja ipo mkoani Morogoro, wilaya ya Morogoro DC ambapo mwezi January niliwahamishia...
  3. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
  4. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5 Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer...
  5. REJESHO HURU

    Swali fikirishi kwa wadau wa elimu kinachoendelea shule za umma

    Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
  6. rammbiro

    SoC02 Ongezeko la single mothers na athari zake katika jamii

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE BY : RASHID ABUNAYA Email : rashidabunaya@gmail.com Assalaam aleykum ndugu wana jamii, Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za kiafya basi mwenyezi mungu awafanyie wepesi mpate kupona Ndugu wana jamii, bila shaka ninyi nyote...
  7. Da Gladiator

    Wadau wa elimu, sel-form zipo hewani

    Asalaam Aleykum, Naona Tamisemi walishaweka form za SelForm katika tovuti yao, hivo kama mdau wa elimu(mhadhiri, mkufunzi, mwalimu na mwanafunzi n.k) Karibuni tutoe ushauri juu ya namna ya kufanya ili watoto na vijana wetu wapate miongozo iliyo karibu na usahihi.
  8. Mtoto wa Nyerere

    Wadau wa Elimu si Prof. Ndalichako na Wafanyakazi wa Umma

    Tunaenda kujadili elimu na mfumo wa kujiajiri Wadau wa elimu wahusika ambao ni Sector binafsi hawapo Wamejazana wafanyakazi wa serikali walio chini ya waziri ndalichako. Huu ni utoto tulitakiwa kuwaita watu ambao wapo tayari nje ya box kama Mafundi wa magari, vinyozi, Mafundi simu, Wanaofanya...
Back
Top Bottom