Kama uzi unavyosema hapo juu,
Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira.
Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...
Rais ongea na Waziri mwenye dhamana ya ajira aongee na hawa secretariet ya ajira waache kutesa wadogo zetu.
Kama uzi unavyosema hapo juu mheshimiwa Rais. Kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana...
Niende moja kwa moja kwenda jambo la msingi.
Ninayezungumza hapa pia ni kijana sio kwamba ni mtu mzima sanaa kivile, hapana. Naanza kwa kusema hili; ili kuondoa ile dhana ambayo kwa sasa inalalamikiwa na vijana wengi mitandaoni kwamba "Wazee" na "Watu wazima waliofanikiwa" wanawaonea vijana kwa...
Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin
Kuna kitu huwa kinaitwa probability, hii ni kipimo cha uwezekano wa kitu kuwa.
Nikija kwa mrengo wa maana yangu ni kwamba wapo wasanii...
Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine.
Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya. Sasa hivi anafundisha history kwenye vishule...
Dada zetu huko vyuoni wanatumika kama Toilet paper kisa kupata Coursework na Alama za Juu kwenye mitihani yao. Sasa hivi ndo imeshamiri haswaaa Rushwa ya Ngono vyuoni Dada zetu na Wadogo zetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa this is very sad.
Unakuta Lecturer anatembea na wanafunzi zaidi ya Kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.