Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na uharifu mwingine mdogo mdogo wa mtaani huku wajitengenezea swaga, mikwara na miondoko fulani yakuweza...