Elimu ni utaratibu unaotumika kurithishana ujuzi kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine ambappo mfumo huu unaweza kuwa rasmi mfano ile elimu inayotolewa katika taasisi mbalimbali za elimu kama shule za msingi, sekondari na chou pia mfumo unaweza usiwe rasmi ambapo mtu anapata ujuzi kutoka...