Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki ili kuhakikisha usalama wao. Juhudi hii, ambayo ni sehemu ya Mradi wa ‘Tuwurinde’, inalenga kupima kofia dhidi ya viwango vya kitaifa vya usalama na kupunguza hatari ya majeraha ya kichwa...
Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu!
Sawa...
Kinachofanywa na maafisa bima wilaya ya Mbogwe kinatia mashaka sana kwa wamiliki wa pikipiki na kwa waendeshaji wengine wa pikipiki kwa jina maarufu bodaboda katika wilaya ya Mbogwe. Niliwahi kutoa malalamiko ya aina hii lakini Kwa Sasa naona ni kama historia inajirudia.
Ukusanyaji wa hela za...
Hawa madereva wa pikipiki wanaofanya pikipiki zao kupika kelele ikiwemo milipuko kama mabomu wanasababisha kelele zisizo za lazima hivyo màmlaka zinazohusika zijitahidi kukomesha tabia hizi ambazo hazina tija.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.