waethiopia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa. Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame na Waziri Mkuu wa Ethiopia Dr. Abiy Ahmed pamoja na nyinginezo kwa rejea yako Usiku mwema
  2. Pdidy

    Waethiopia haramu 41 wakamatwa moshi kilimanjaro ati dreva amekimbia aisee??Why

    Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa Kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa?? Mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao Maswali haya yanatishia mipaka yetu sana 1.Mkuu wa immigration boda nambanga je hawa wamepitia...
  3. MK254

    Magaidi wa Alshabaab wajaribu kujilipua kwa Waethiopia na kukuta wamesubiriwa na kuwahishwa

    Magaidi wa alshabaab kule Somalia wenye mlengo wa dini walijaribu kuvamia kambi ya Wahabeshi, Ethiopians, walianza kwa kujilipua lipua ila wakakuta wamesubiriwa na kupokea kichapo..... ================== Ethiopian National Defence Forces (non ATMIS) , who are supporting the Federal Government...
  4. Pdidy

    Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  5. Lycaon pictus

    Je, kuna wakati Waethiopia walitawala Misri yote hadi Israel?

    wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa. 9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha. 10Asa alitoka akaenda kupigana naye...
  6. L

    Waethiopia wana asili ya wapi?

    Kwenye Uafrika hawapo, uzungu hawapo wala Uarabu hawapo pia.
Back
Top Bottom