wafahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wafahamu IFFHS Kwa Mapana Zaidi

    IFFHS ni shirikisho la Historia na Takwimu Kwenye mpira wa miguu ambapo Kwa kirefu ni International Federation of Football History and Statistics, Shirikisho hili lilianzishwa Mwaka 1984 na Alfredo Pohe huko Leipzig nchini Ujerumani. Shirikisho hili limekuwa likijihusisha na upangaji wa timu...
  2. L

    Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5. Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu. Ni...
  3. Wafahamu Wafadhili Wakubwa Wa Mashirika ya Hisani Na Sifa Zao (Major Gift Donors and Their Traits)

    Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
  4. C

    Wafahamu Marais Wastaafu wa Zanzibar (walio hai)

    1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024), 2. Salmin Amour 'Komandoo' 3. Dr. Mohamed Shein.
  5. U

    Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024 Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
  6. C

    Wafahamu Mawaziri toka Zanzibar

    Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano. 1. Masauni (Mambo ya Ndani), 2. Kombo (Mambo ya Nje), 3. Mbarawa (Uchukuzi),
  7. Wafahamu kuwa mkojo wa wanyama una mbolea kuliko kinyesi chake?

    Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye damu, kwenye figo na kisha kama mkojo. Hivyo mkojo unakuwa na makorokoro mengi sana ukilinganisha na...
  8. Waarabuni hutumia Islam to colonize countries kama vile wazungu walivotumia Ukristo

    Uislamu ni "Trojan-horse" wa ukoloni wa Kiarabu. Mwanzilishi wa dini hiyo alikuwa Mwarabu. Kitabu chao kitakatifu kiko katika lugha ya Kiarabu. Lugha unayopaswa kujifunza na kutumia katika sala nayo ni Kiarabu. Mwelekeo ambao unapaswa kuomba ni Uarabuni. (Ambao hata hivo hauko sahihi...
  9. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

    Nasikia Rais kavunja Bodi ya TCRA. Naona hawa hapa ndio walikua Wajumbe wake MAWASILIANO: BODI YA TCRA YAVUNJWA Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikiwa ni takriban mwaka mmoja tangu amteue Mwenyekiti wa Bodi hiyo Kwa mujibu taarifa ya Kurugenzi...
  10. G

    Wafahamu kuhusu free spins za Online Slots?

    Kuna mtu mpaka sasa haamini kua watu wanapata pesa kupitia hizi kampuni za kubet, michezo sana sana slots na mingine kama Aviator na Zeppelin ya Sokabet. Naomba niongelee kidogo na kwa ufupi bonasi inaitwa free spins katika slots na unavyoweza kuzipata. Kwanza kabisa ijulikane ni ubashiri na...
  11. B

    Wafahamu viumbe sita wanaolala jicho wazi

    Kulala huku macho yakiwa wazi huwasaidia wanyama kuwa macho dhidi ya hatari zinazoweza kutokea na kuwawezesha kujibu mapigo inapohitajika. Ni maisha ya kuvutia ambayo huwaruhusu kupata hitaji la kupumzika na hitaji la usalama katika eneo lao. Hawa ni baadhi ya wanyama ambao hulala jicho moja...
  12. N

    Tuwaambie ,Tuwaeleze,Wjifunze na wafahamu

    Vijana wa Sasa ksema ukweli hawjitambui ni muhimu Kwa wazazi na wazee kuacha kutupa lawama tuu! Bali waanze kuongea ukweli. Ili kuokoa kizazi hiki kilicho athiriwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Kama tunavyojua maendeleo hayaji Kwa kuinua uchumi pekee.kama vijana wataachwa nyuma...
  13. Wafahamu Wavuvi hawa Mashuhuri waliokuwepo kwe Noti ya Shilingi Mia Mbili

    Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu. Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua...
  14. Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  15. Wafahamu watoto wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Kuna maswali wengi hujiuliza kama watoto wa Putin Rais wa Urusi wapo kwenye social media, inasemekana wanaweza wawepo kwa kutumia majina yasio kuwa yakwao kwa ajili ya usalama na wanaweza wasiwepo kabisa. Maiaha yao ni ya kipekee kutokana na hali ya kisiasa na kinachoendelea, wote hao wakike...
  16. Wafahamu ma-IGP wa Tanzania

    Kwa rekodi za kipolisi IGP wa kwanza kurekodiwa ni Harun Mahundi ambayo alishika wadhifa huo miaka ya 1990s. Mwaka 1996 hadi mwaka 2006 wadhifa huo ulishikiriwa na Omary Mahita. Kuanzia 2006 hadi mwaka 2013 Said Mwema alishika kijiti cha wadhifa huo, ambapo alipokezana na Ernest Mangu...
  17. K

    Wafahamu wezi waliopongezwa na mwalimu Nyerere

    Ilianza kama utani Shirika moja la enzi hizo za utawala wa mwalimu Nyerere lilokuwa na ukwasi wa kutosha enzi hizo lilipokea taarifa kutoka kwa wezi kuwa siku ya tarehe_ _ mwezi wa _ _ wangefika kufanya wizi wa fedha kidogo hapo kwenye jengo la shirika hilo Basi viongozi wa shirika...
  18. Wafahamu manabii waliokaa mahabusu na kufungwa jela (ikiwamo kwa sababu za kisiasa)

    WAFAHAMU MANABII WALIOKAA JELA , (WENGI SABABU ZA KISIASA) Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kipimo namba moja cha Nabii au mtumishi wa Mungu ni HAKI, Ikiwa nabii au mtumishi wa Mungu hatakuwa na sifa hiyo basi ni wazi yeye sio nabii wala sio mtumishi wa Mungu, huwaga nawaitaga wahuni tu. Mtumishi...
  19. Historia ya kabila la Wakurya

    Je Wajua? KABILA LA WAKURYA Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za magharibi na mashariki mwa Mkoa wa Nyanza katika sehemu ya kusini mashariki ya Kenya. Mnamo mwaka 2005...
  20. Wafahamu Sutherland’s Seven sisters: Sehemu ya Kwanza 1

    Habari ya uzima wanaJF, natumaini mko wazma sana. Kazi iendelee. Nimepokea jumbe nyingi kutoka kwa wadau mbalimbali wakiomba niweke bandiko kuhusu Sutherland’s Seven sisters, Kwani niliwagusia juu kwa juu katika moja ya mrejesho wa bandiko moja ndani ya jukwaa. Naomba msamaha kwa kuchelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…