Nipo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi kijiji cha Korongwe. Leo asubuhi kumezuka taharuki kijijini hapa KORONGWE iliyotokana na kuwepo kwa watu wanaojitambulisha kuwa ni maafisa biashara kutoka wilayani Nkasi. Wamekuwa wakizunguka ovyo mitaani kufunga biashara yaani kuweka makufuri kwa...
Anonymous
Thread
kijiji cha korongwe
maafisa biashara kufunga biashara
tra kufunga biashara
wafanyabiasharankasi