Wakuu,
Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12.
Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa
Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5...
Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma.
Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao.
Ninatia wito kwa...
Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi
Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na...