wafanyabiashara wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

    Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China! Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi? 🙏🙏🙏
  2. Ojuolegbha

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji

    Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni. Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
  3. The Supreme Conqueror

    Siri na sababu ya mgomo wa wafanyabiashara kuendelea kusambaa maeneo mengine ya nchi

    1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA. Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote. Kamishina TRA amewaambia Wafanyabiashara mara kadhaa mkitaka tuache kufanya kazi ambazo nyie...
Back
Top Bottom