Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma.
Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
Wafanyabiashara katika jiji la Kampala wako kwenye mgomo wakipinga ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoingizwa na mfumo wa ukusanyaji ushuru, Mfumo wa Elektroniki wa Kutoa Risiti na Ankara (EFRIS), pamoja na malalamiko mengine.
Hata hivyo, kuna mkanganyiko miongoni mwa wafanyabiashara, na baadhi ya...
Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili kuwabana wameamua kugoma. Mm huwa hainiigii akilini mtu kugomea shughuli zake, anamgimea nani, na je...
Leo nimepita mitaa ya Mwanjelwa nimekuta fremu zimefungwa. Wamachinga wanaendelea na biashara zao kama kawaida.
====
Pia soma:
Mgomo wa Soko la Kariakoo, Juni 24, 2024
Mgomo wa Wafanyabiashara wahamia Mwanza, maduka yafungwa
Leo Juni 25, 2024 kuna mgomo mkubwa wa wafanyabiashara, maduka yafungwa Oneway, Majengo mitaa haina watu kabisa hali tete wananchi wanahaha.
CCM imechoka kwakweli.
Pia soma:
Mgomo wa Soko la Kariakoo, Juni 24, 2024
Mgomo wa Wafanyabiashara wahamia Mwanza, maduka yafungwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.