Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini baada ya kufunga hesabu zako ukapata laki tisa lazima ulipe laki moja ili hesabu ifunge, ndo hivyo...