Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Naibu Rais wa Kenya wamepewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa Leo 19/10/2024
===
Kwenye taarifa Jumamosi serikali iliamuru jumla ya wafanyakazi 108 katika walioajiriwa mahsusi kumhudumia Bw Gachagua kwenda likizo kutokana na kile kinachotajwa kama “mchakato wa...