Serikali imeombwa kuingilia kati ili waliokuwa wafanyakazi pamoja na wateja wa Benki ya FBME wapate haki zao ikiwemo fedha ambazo wanaidai benki hiyo ambayo imesitisha kutoa huduma tangu mwaka 2017.
Ombi hilo limetolewa leo jijini Dar es Salaam na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo ambapo...