Wakuu,
Taasisi iliyoanzishwa na Rais Donald Trump ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient) Bwana Elon Musk.
Sasa imepewa jukumu la uhakiki WA serikali kuu kwa watumishi hewa na wale watumishi...
Nikiwa nimekaaa kijiweni, jamaa mmoja anasema wazi wazi mkewe anapokea mshahara pasipo Kufanya kazi Serikali ila mpunga kila mwezi unaingia na hili anadai ni kwa watu wengi huo mtindo ndo habari ya mjini kwa sasa.
Nimempongeza kwa hilo maana maana anadai huko Serikalini viongozi wa juu...
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.